
Mwanamuziki Sean Kingston akiweka saini katika chupa ya bia ya Kilimanjaro alipotembelea TBL leo

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja (kulia) akiongea na Mwanamuziki wa kimarekani mwenye asili ya Jamaica,Sean Kingston (katikati) pindi alipofika katika makao makuu ya kampuni ya bia ya TBL mchana huu.

Sean Kingston akiwasili TBL pamoja na wapambe wake.

Afisa wa TBL,(jina limenitoka kidogo) akiwapa maelezo ya namna wanavyotengeneza vilaji vyao vyote kwa wanamuziki waliokuja pamoja na Sean Kingston walipotembelea TBL leo.

Super Model Jamillah akipiga stori mbili tatu na mmoja wa wasanii waliokuja na Sean Kingston wakati wa ziara yao katika makao makuu ya kampuni ya bia TBL.

wakiendelea kupata maelekezo.

mzee wa Mtaa Kwa Mtaa akiuza na msanii wa Kimarekani.


sehemu ya mashine za kisasa kabisa zitumikazo kuzalishia vivywaji vya TBL.
Asante sana mzee wa mtaa kwa mtaa kazi yako naiona, iwapo utahitaji msaada sisi wahuni tupo tutakumia photos za matokeo mitaani.
ReplyDelete