HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 19, 2010

Mziba Mashino

huyu jamaa huwa anafanya kazi ya kufukia mashimo yaliyopo katikati ya Barabara ya old Bagamoyo rodi na akishafanya hivyo huwa anaanza kuchangisha mkwanja kwa wapitao katika barabara hiyo ambapo kuna wengine wanamoyo wa huruma na kuweza kumsaidia huyu jamaa lakini kuna wengine wanampita hapo huku wakiwa wamekula full tinted.sasa sijui wadau wengine mnalionaje hili alifanyalo huyu jamaa???

1 comment:

Post Bottom Ad