HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 19, 2010

Warembo Wa Dar Inter College Waendelea Kupiga Jaramba

Warembo wa Dar Inter College wakiwa na mwalimu wao wa kucheza Dance anayefahamika kwa jina la Bob Rich waliendelea kujifua ipasavyo kwa ajili ya mtanange wao utakaofanyika siku ya Alhamisi ya tarehe 27 mwezi huu katika kiota cha maraha na kujidai cha Club Bilicanas.
Bob Rich akienda sambamba na wanafunzi wake
utapendaaaa.....
sio kama wanataka kupaaa la hasha,hapo wapo katika moja ya staili waliyopewa na mwalimu wao ili waweze kuipendezesha shoo siku hiyo.
warembo wakimsikiliza ticha wao mara baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya kupiga tizi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad