
mshindi wa kata nyonga kwa siku ya leo ni huyu jamaa,anaitwa Tom na hapa alikuwa akikabidhiwa zawadi yake toka kwa afisa masoko kwa Overmeer Wine,Detah Daudi ambao ndio wadhamini wakuu wa Flava Nite.

raha burdaaaan

wacha weeee

hii ndio staili aliokuja nayo Tom siku ya leo

hapa akicheza na msela wake

Detah (kulia) akisakata magoma na rafikie


kitu cha mduara

mapini ya enzi za ticha yakiungurumishwa na Dj Bon Lov ambaye ndie mkali wa madude hayo.

full nyomi na full kuserebuka,kama hukuudhulia hapa siku ya leo basi vingi vimekupita na hivyo jitahidi kufika wiki ijayo ili upata madude ya kijanja na ukutane na washkaji mbali mbali.
*** FLAVA NITE ***
bongo si mchezo inavyoonesha hali ya sasa vijana wanatenga bajeti katika mishahara yao kuhakikisha hawakosi viwanja inapendeza
ReplyDelete