HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 9, 2010

Kamuzi La Flava Nite @ Mzalendo Pub usiku huu

mshindi wa kata nyonga kwa siku ya leo ni huyu jamaa,anaitwa Tom na hapa alikuwa akikabidhiwa zawadi yake toka kwa afisa masoko kwa Overmeer Wine,Detah Daudi ambao ndio wadhamini wakuu wa Flava Nite.
raha burdaaaan
wacha weeee
hii ndio staili aliokuja nayo Tom siku ya leo
hapa akicheza na msela wake
Detah (kulia) akisakata magoma na rafikie
kitu cha mduara
mapini ya enzi za ticha yakiungurumishwa na Dj Bon Lov ambaye ndie mkali wa madude hayo.
full nyomi na full kuserebuka,kama hukuudhulia hapa siku ya leo basi vingi vimekupita na hivyo jitahidi kufika wiki ijayo ili upata madude ya kijanja na ukutane na washkaji mbali mbali.

*** FLAVA NITE ***

1 comment:

  1. bongo si mchezo inavyoonesha hali ya sasa vijana wanatenga bajeti katika mishahara yao kuhakikisha hawakosi viwanja inapendeza

    ReplyDelete

Post Bottom Ad