Hii gari imeharikika barabarani,hilo ni sawa na halipingiki kwa sababu swala la kuharibika ni la kawaida katika viombo hivi.kitu ambacho kimenifanya nizilete picha hizi hapa mtaani ni kutokana na wahusika wa gari hii kuendelea na shughuli zao za kiufindi bila kuweka tahadhali yeyote ile kwa yule ajae nyuma.sasa sijui hilo limekaaje??
No comments:
Post a Comment