uingiapo Tegeta kutokea taun Baskeli na magari ngoma drooo Bahari ya nanihii iliopo pale Tegeta kibaoni ionekanavyo sasa,yaani inazidi kupendeza tuu
Duh si mchezo hulali we kijana
ReplyDeletekazi njema!!!
Asante sana kwa pichazz, na kwa kunifikisha mitaa ya home huko Tegeta, hasa umenikumbusha sana hicho ki down unapoingia mjini Tegeta.
ReplyDeletenaupenda huo mteremko hapo, huwa unaashiria kuwa naelekea nyumbani kupumzika baada ya misukosuko ya kazini. i love tegeta!
ReplyDelete