1. Miaka 10 jela kwa kukutwa ukinywa maji wakati pombe ipo.
2.Kukataa ofa ya pombe miaka 4 jela au faini ya Tsh. 500,000/=
3. Kuchanganya pombe na maji miaka 5 jela pamoja na viboko 6.
4.Kutapika baada ya kunywa pombe adhabu ni kifungo cha maisha.
5.Kunywa pombe peke yako nyumbani kifungo cha miezi 6 jela.
6. Kukutwa umelala mezani huku glasi imejaa pombe miaka mitano jela bila rufaa.
7.Kukataa kuvuta wakati unakunywa miezi 5 jela.
8.Kukataa kununua pombe wakati unapesa mfukoni miaka 7 jela na kazi ngumu.
9.Kukutwa katika kundi la wasiokunywa pombe miaka 4 jela na viboko 12.
Wenu mtiifu,
Raisi wa Wanywaji

No comments:
Post a Comment