HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 30, 2010

Hepi Besdei Ya Kuzaliwa Anko Baggio

Tarehe kama ya leo,miaka mitano iliyopita.Mtoto Baggio Alimbe (pichani) alizaliwa na leo hii anasherehekea sikukuu yake hiyo huko Slotervaart,Amsterdam.

na ameniambia anayo furaha kubwa sana kutimiza umri huo kwa sasa na anamshukuru sana Muumba kwa kumjaalia kufikia hapo alipo na pia anawashukuru sana wazazi wake kwa malezi mazuri wanayompatia hadi hii leo.

na anawaombea kwa Muumba awazidishie zaidi na zaidi na aendelee kuwapa moyo wa upendo kwake.Mnuso wa Besdei hiyo utakuwa siku ya J1 na atatoa mualiko kwa wadau baadae kidogo.


Hepi Besdei Anko Baggio Alimbe.

4 comments:

  1. Happy Birthday son, Mungu akutangulie kwa kila jambo, uwe mtoto mwema kwangu na kwa watu wengine. Wazazi wako wanakupenda, A lot of kisses kutoka kwa Bi Mwajemi n Uncle didi. Luv u son.


    UR mom Mtage

    ReplyDelete
  2. Hongera kwa siku ya kuzaliwa. Mungu awe nawe siku zote na uwe na mafanikia katika chocgote utencho na pia uwe mtoto mwema.

    ReplyDelete
  3. Happy birthday lil b, God bless ya







    ur uncle J

    ReplyDelete
  4. Hello Baggio I wish u all the best
    Rafiki yako
    Kakere junior.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad