HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 5, 2010

Ratiba ya mawaidha ya kusikiliza ku PALTALK

ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH.

Ndugu waislamu, Tumetaarisha RATIBA ya mawaidha ya kusikiliza ku PALTALK kwa mda maalum. InshaAllah itakuwa mara 4 kwa wiki.
ijumaa(friday) 17.00 sweden, ijuma pili(sunday) 15.00 sweden, ijuma nne(tuesday) 17.00 sweden, alhamis(thursday) 17.00 sweden.

Muhimu: Ratiba inaweza kubadilishwa wakati wowote.

Ili uweze kusikiliza mawaidha ya ku Alhidaaya ku PALTALK, unapasua kuwa na prgm inaitwa PALTALK.
kama huna download

http://www.paltalk.com/start_chatting.shtml

akisha kuwa mwana member wa paltalk. Akisha u sign in. Baada ya hapo, andika kule juu sehemu ya kutafuta roomalhidaaya mawaidha. Kuna lugha nyingi ila room yetu iko sehemu ya lugha ya swedish. Kama kuna swali lolote basi usisiti kukosa kuuliza:

sweden_daawa@yahoo.se

Mawaidha ya ku www.alhidaaya.com yanapatikana sasa ku FACEBOOK na PALTALK

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad