
Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa ililifuma tukio hili laivu pande za Msasani Mchana wa leo,ambapo katika hao vijana watatu walioshikana kuna wawili wako katika kuzichapa kavu kavu baada ya mmoja kati ya hao wawili wanaozichapa kumuita huyo Binti hapo pembeni na kumsakizia mwenzake ambaye hakutegemea kama ingekuwa hivyo na badala yake ndio mambo yakawa kama hivi huku yule bidada akiendelea na taimu zake huku kicheko kikiwa kimetawala kinywani mwake kwa kuona mshkaji alivyochukua ule uamuzi.ama kweli huku uswazz kuna mambo kweli kweli.
No comments:
Post a Comment