
msela akiwa amejitwika kiloba kilichokuwa na viazi katika soko la buguruni asubuhi ya leo

msela akiteremka tarrrrrtttiibbbbbuuuu huku akiwa makini na tope lililotapakaa katika njia nzima ya soko hilo la buguruni asubuhi ya leo mara baada kimvua cha kiaina kupiga.
Mambo kama haya kikitokea kifo cha ghafla wanasema umerogwa, hakuna cha kurogwa wala nini, ni kama hivi kuufanyisha kazi mwili kinyume cha maumbile. Kwanini Ulaya hamna vifo vya ajabu, kutokana hamna mambo kama haya. Sasahivi sheria za Ulaya mtu kubeba mzigo mwisho kabisa kilo 20 ni sheria, zaidi ya hapo unaweza kushitakiwa, wewe kama mwajili,pia wewe mfanyakazi.
ReplyDelete