Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa leo imewafuma watoto hawa wa mitaani wakiwa wamekwidana mashati mara baada ya msamalia mmoja aliekuwa katika gari kuwarushia hela kiasi cha sh. 50 na kufanikiwa kuipata mmoja kati yao na huku mwingine akidai kuwa yeye ndie alieiomba hela hiyo.matokeo yake walikwidana mashati na kutaka kuonyeshana ubabe huku wananchi wakiendelea na taimu zao kama vile hawaoni kitu hapo.
No comments:
Post a Comment