
Dj Mackay akifanya vitu vyake huku mkali Bon Love akichombeza chombeza kimtindo

BonVenture na Flowers

Salma,David na Salma mwingine wakiwakilisha kwa pamoja ndani ya Flava Nite

Dj Bon Love akikamua madude

"hivi ile cd na nanihii umeiweka wapi vilee??"

show love,shoto ni Penina wa Chanel 10,Bon Ventune pamoja na Sauda

Deus na David

Salma na Salma

wadau wa ughaibini nao walikuwepo

show love

wadau

mdau Sam wa machozi band (pili toka shoto) na friends zake

Bon Venture akiwa na wadada warembo

Bon Venture na Mdau

Salma,Mie na Sarha tukiwakilisha kama kawa ndani ya Flava Nite

wadau


Mdau Juddah (shoto) akiwa na washaji zake

Dj Bon Love na Mshkaji wake

Wadau wakiwa pamoja na mkali wa siku nyingi katika anga ya kucheza na madude,Dj Bon Love (pili tika kulia) ndani ya Mzalendo Pub katika usiku wa maflava ya ukweli

Dj Oscar na mshkaji wake

wadau

wakuu wa kazi

vichwa makini katika anga tofauti tofauti hapa Bongo wakiwa katika Flava Nite @ Mzalendo Pub usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment