

Makamuzi ya Flava Nite usiku wa kuamkia leo katika kiwanja cha kujidai cha Mzalendo Pub yalikuwa ni ya kufa mtu,yaani walahi tena kama ulikosa jana,basi ibuka tena leo maana leo kuna makubwa zaidi ya ilivyokuwa jana.hivyo ibuka bila kukosa pale Mzalendo Pub na ukalisakate disco la ukweli.
FLAVA NITE KIAFRIKA ZAIDI @ MZALENDO PUB
Kakaaaa....ni nini hiyo kijana.Duu kwa raha zenu
ReplyDelete