alama ya kuashiria hatari("halafu hili shimo nnahasira nalo kama nini vile,maana kuna siku nilipiga mbizi hapo...")shimo lilipoanza lilizibwa na tairi moja
lilipoongezeka limeongezewa tairi nyingine moja
bonge la Handaki.hizi sehemu zote zinafahamika hivyo sina haja ya kuzitaja tena kwa majina.haya kazi kwenu wahusika mie nishawaonyesha na nyie katendeni kazi.
No comments:
Post a Comment