Watoto wakazi wa Kigogo Dar es Salaam wakicheza katika mtaro wa maji taka yaliyotuama kwa muda mrefu karibu na makzi yao jambo ambalo ni hatari kwa afya zao.sijui wazazi wao wako wapi??(ahsante ya picha kaka Mroki Mroki)
hii ni hatari sana jamani wazazi tuwe makini.
ReplyDelete