HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 3, 2010

Siku ya Mazingira Barani Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifunguwa mkutano wa siku mbili kwa Viongozi na Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Bara la Afrika ulioambatana na Maadhimisho ya siku ya Mazingira Afrika katika kituo cha mikutano cha AICC Mjini Arusha leo.
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia vitabu vya aina mbalimbali vinavyoelezea juu ya utunzaji wa mazingira kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Barani Afrika,katika kituo cha Mikutano cha AICC Mjini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Arusha pamoja na Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Bara la Afrika, mara baada ya kufunguwa mkutano wa siku mbili ulioambatana na maadhimisho ya siku ya mazingira Afrika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad