HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 3, 2010

Hali Yazidi Kuwa Mbaya Kwa Watoto Wa Mitaani

watoto wa mitaani wakiwa ni wenye huzuni mkubwa sana pembezoni mwa barabara ya Bibi Titi na Morogoro Rodi.Hali ya watoto hawa imezidi kuwa mbaya tangu lilipotokea lile tukio la uzushi la omba omba mmoja kutokomea na mwanadada mmoja pale maeneo ya daraja la salenda.jamani tusiwatupe watoto hawa maana na wao wanahaki zote kama binadamu wengine.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad