
hii ndio barabara kuu ya itokayo jijini Dar na kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini na nchi jirani kama Zambia na Malawi.miaka hiyo hii ndio ilikuwa hali halisi katika barabara hii.sasa swali linakuja.Je, Ni waliowahi kupita barabara hii wakati iko katika hali mbaya namna hii???(picha kutoka Maktaba ya Babu)
No comments:
Post a Comment