HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 23, 2010

Mama Ntilie

kwa sisi kina nanihii tunaokolewa sana na hawa wamama maana ukifika hapo unapokelewa kwa shangwe na furaha tena huku ukiulizwa "unataka nini mteja wetu,maana leo tuna wali mchicha na ugali dagaa wa Mwanza."bado ukimaliza unapewa na ndizi kama tunda la kusindikizia msosi wako.yaani bigi apu kweli kweli kwa kina mama ntilie hawa maana wanatuokoa sana kina sisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad