HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 6, 2010

majambazi sita watiwa mbaroni pamoja na vifaa vyao vya kazi

Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam Afande Suleiman Kova (kushoto) akionyesha zana mbalimbali zilizokamatwa kutoka kwa majambazi 6 waliokamatwa na polisi wakati wakijiandaa kwenda kufanya uhalifu katika maeneo ya Tegeta, Dar. Vitu walivyokamatwa navyo ni pamoja na mitungi ya gesi, funguo 73, mitarimbo na plasta moja kubwa.
Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (kushoto) akionyesha gari yenye namba za usajili STK 1739 mali ya Wizara ya maliasili na Utalii ambalo liliibiwa na majambazi katika eneo la Mabibo, Dar es Salaam na kukutwa Mbagala.Picha kwa hisani ya Blog Ya Jamii

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad