HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 7, 2010

Chadibwa Beach Resort

ukitoka tu pale kwenye panton kuashiria kuwa umeikanyaga ardhi ya Kigamboni basi unakamata zako lami tarrrttiiibuuu mpaka pande hii ya Chadibwa,ambapo ukifika hapa kabla ya kuingia ndani basi ni lazima ukutane na hili bango ambalo litakuelekeza vyema kabisa eneo la tukio
sehemu ya Bar inavyoonekana.
mkuu Pius Mikongoti (Pius Micky) ndie mwenye eneo hilo la kujidai na hapa nikila nae pozi mara baada ya kunipa mawili matatu juu ya kiota hicho ambacho amekifungua siku si nyingi.
sehemu ya kupumzikia
wadau waliofika Chadibwa wakijinafasi kwa raha zao.
Sehemu ya Beach ikiwa imetulia kabisa na ikionekana kuwa ni safi kupindikia,ambapo hivi karibuni itawekwa kimichezo zaidi.wadau hiki ni kiota kipya kabisa kwa sasa ambacho kipo huko maeneo ya Kigamboni mbele kidogo ya ile Beach yetu ya longi taimu,(Mikadi Beach) ambayo iko chini ya Kaka Pius,hivyo tutembelee siku moja kwa kuona kitu kizuri kama hili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad