HAKUNA ALIYEPATA MADHARA KATIKA AJALI HIYO NA ABIRIA WOTE PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA NDEGE HIYO WAKO SALAMA
INAELEZWA KWAMBA NDEGE HIYO YENYE NAMBA YA KURUKIA TC 100 ILIPATA MSALA HUO WAKATI ILIPOTUA KWENYE BWAWA KUBWA LA MAJI LILILOTUAMA KWENYE NJIA YA KUTULIA (RUNNAWAY) UWANJANI HAPO,HII NI KUTOKANA NA MVUA KUBWA INAYOENDELEA KUNYESHA JIJINI HUKO.
INASEMEKANA MAJI YALIINGIA KWENYE INJINI MOJA NA KUISABABISHA INJINI HIYO KUZIMIKA NA KUIFANYA NDEGE IACHE NJIA NA KWENDA PEMBENI KIASI CHA MITA KAMA 300 HIVI. INAAMINIKA KWAMBA KISHIKILIA GURUDUMU LA MBELE KIMEKATIKA.
HABARI ZINAELEZA KUWA MPAKA SASA TAYARI ABIRIA NA WAFANYAKAZI WAMESHAOKOLEWA NA KUPELEKWA MAHALI SALAMA.
HABARI ZINAELEZA KUWA MPAKA SASA TAYARI ABIRIA NA WAFANYAKAZI WAMESHAOKOLEWA NA KUPELEKWA MAHALI SALAMA.
No comments:
Post a Comment