HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 13, 2010

Wiki Endi Ya Malovee Ndio Hiyooo Ishatinga

Hivyo basi naomba niwatakie kila la kheri na mapumziko mema katika wikiendi hii yenye siku nzuuuuri ya Ma Love Davieee,nasema tuko PamoJah katika hilo wandugu.ila kwa yule ambaye bado hajapata wa kupendana nae kama mimi basi sio mbaya tukisherehekea PamoJah sikukuu hiyo.hah ahah ahah au unaonaje??

2 comments:

Post Bottom Ad