hawa jamaani nimewakuta wamembonji katika kiwanja cha mpira cha pale Namanga,hii nimeipata alfajiri ya leo nilipokuwa katika misele yangu ya kila siku,sasa sijui ndio waliangusha hapo tangu jana au ni vipi.maana kwa mbonji hilooo!!
No comments:
Post a Comment