baadhi ya mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani,yakiwa yamepaki kwa nafasi zao ili kusubiria muda wa kuanza kwa safari. mbilinge mbilinge la kutoka kwa mabasi katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani,Ubungo asubuhi ya leo.mabasi yote haya kabla ya kuanza safari zake lazima yafanyiwe ukaguzi wa kina ili kuhakikisha safari inakuwa poa.
No comments:
Post a Comment