HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 4, 2010

Mtaani Kwetu

mtaa wetu leo sijui hata kunani maana naona ghafla tuu umeanza kupigwa sop sop,mpaka nimeshangaa.

2 comments:

  1. Ukiona hivyo ujue hapo Jk atapitia mtaani kwenu,kaeni mkao wa kumuona rais leo.

    ReplyDelete
  2. Hahaha Mgeni wa Nje atapita na Waziri Mkuu sie wa Bongo siunajuwa tunapenda kuficha makucha yetu. Tuwe majirani tunajitolea kila siku kusafisha mitaa yetu tusiwasubiri serikali. Pazi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad