Kondakta wa daladala lifanyalo safari zake kati ya Tandika na Posta,akijaribu kuwazuia wanafunzi wasiingie ndani ya daladala hilo kutokana na jinsi lilivyoshona.hii imekutwa na Father Kidevu alivyokuwa katika misele yake maeneo ya Posta.wadau hii imekaaje??

No comments:
Post a Comment