HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 12, 2010

Mpaka Mtu Adhurike Ndio Ijulikane Kuwa Kimechoka??

kibanda cha kupumzikia abiria wakati wa kusubiria ushafiki kilichopo maeneo ya Kimara,kikiwa kimelalia upande mmoja huku ndani yake kikiwa na abiria waliokuwa wakisubiri usafiri.sijajua wahusika wa vibanda hivi wanawaza kitu gani mpaka sasa na huku hii hali iko kama hivi???au ndio mpaka mtu adhurike ndio wajue kuwa kimanda chao mikechoka??

1 comment:

  1. Uongozi wa Serikali Kuu ya Tanzania pamoja na zile Serikali ndogo ndogo zote hazina Viongozi wa kweli wenye kuweza kuona mambo kama haya, Ila kazi zao ni Kuomba na kupokea rushwa au kuiba budge ambazo zimewekwa ktk kuweza kutengeneza issue kama hizo.

    Ni Aibu sana kwa nchi iliyopata uhuru toka 1961.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad