Mkwara ukikolea lazima uone faiida yake,hebu mdekshie bw. nanihii hapo akiwaza jinsi ya kwenda kupitia nyuzz mezani huku akiutafakari mkwara mzito uliopo mbele yake.ahsante ya picha kwa Kaka Maggid Mjengwa.
Duuhh Hii ni noumer mazee,maana hapo hakusogeleki wala hakusomeki gazeti.nafikiri huyo ustaadh anamlaani sana huyo muuza magazeti kwa hilo tangazo lake.
safi maana watu wamezidi, wanajua kutoa macho kwenye biashara za watu halafu wanaondoka bila gazeti. nimeipenda hiyo ila nakuonea huruma Othman utasoma wapi tena? unalo
Ustadhi mtaa kwa mtaa wewe nini huyo unataka kusoma magazeti ya udaku mpaka ndani hahaha.
ReplyDeleteUstaadh naona anakivutia uradi hicho kibanda ili akifika pale yule muuzaji asimshtukie.haha ahah ahaha imetulia sana hii.
ReplyDeleteDuuhh Hii ni noumer mazee,maana hapo hakusogeleki wala hakusomeki gazeti.nafikiri huyo ustaadh anamlaani sana huyo muuza magazeti kwa hilo tangazo lake.
ReplyDeletesafi maana watu wamezidi, wanajua kutoa macho kwenye biashara za watu halafu wanaondoka bila gazeti. nimeipenda hiyo ila nakuonea huruma Othman utasoma wapi tena? unalo
ReplyDeletekwani vibanda vya magazeti vimeishaaaa??? si ntaenda kusoma pale kwa yule nanihii.yeye anafikiria kila mtu anahela za mchezo??
ReplyDelete