
Askari wa usalama Barabarani akipima ajali ya gari na baiskeli iliyotokea asubuhi hii nje ya kituo cha mafuta cha TOTAL kilichopo Morogoro rodi.

mchuuzi wa Samaki ambaye ndie aliengwa na gari hiyo yenye nambari za usajili T 648 ARS asubuhi hii alipokuwa akitokea feri.

"yakhee mie ndo hivyo tenaaaa,nshagongwa miee"

Askari wa usalama Barabarani akichukua maelezo ya mwenye gari hiyo

kipimo kinaendelea.

mashuhuda kama kama.
No comments:
Post a Comment