HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 23, 2010

Cheka Ki Mtaani

Kuna Mdau kaniletea hii nami bila hiyana naimwaga kwenu wadau.
Mzungu alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki.
Wale waafrika wakachukia kuambiwa wana undugu na nyani wakamuua yule nyani. Aliporudi kumkuta nyani wake kafa akapanic kwa hasira na kuanza kuuliza aliyemuua.Wakamjibu "Hayo ni mambo ya kifamilia hayakuhusu".

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad