HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 1, 2010

Mdau Imran Mtui Afariki Dunia

Marehemu Imran enzi za uhai wake.


Nimepokea Habari ya kifo cha mdau Imran Mtui hivi punde,taarifa hizo ambazo ni za kuaminika kabisa toka huko nchini India zinaeleza kwamba Marehemu Imran alikutwa amekufa na kifo chake kikiwa ni chenye utata mkubwa sana.Polisi wa nchini humo wanaendelea na uchunguzi wa kifo hicho na taarifa kamili itapatikana pindi tu uchunguzi wa Polisi utakapokamilika,hivyo tuvute subira ili kujua kilichotokea na mpaka kupoteza maisha ya ndugu yetu Imran.taarifa hizi ni kwa msaada wa Mdau Evans aliopo huko huko nchini India

1 comment:

Post Bottom Ad