katengeneza pikipiki ambayo unachaji kama simu!!!!hiyo iko kwenye chaji hapo,daah kweli hawa jamaa ni noma.
hizo mkuu wameaanza wazungu kitambo
ReplyDeleteMzee kuna gari za kuchaji kwenye umeme, mambo yapo kitambo hayo labda na hawajaanza wachina mzee.
ReplyDelete