
haya ndio mambo ya usiku wakati kichwa kiko poa tayari,hii kitu imetokea usiku wa kuamkia leo pale kwenye ile kona matata sana mbele kidogo ya Rose Garden,jijini Dar.katika ajali hii hakudhulika mtu yeyote.

kitu kikiwa kimepiga ubavu mtaroni usiku wa kuamkia leo.

Gari ndogo aina ya Mitsubishi Pajero,yenye nambari za usajiri T 849 AXC ikiwa imekula mweleka ndani ya mtaro mara baada ya kumzidi ubavu suka wake.ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo katika lile eneo lenye kona kali sana pale mbele kidogo ya Bar ya Rose Garden.hakuta aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii.
No comments:
Post a Comment