HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 26, 2010

Hapi Besdei Mtoto Pavel Adam

Mtoto Pavel Adam akiwa ni mwenye furaha tele mara baada ya kugonga mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake,na chini ni keki lake la Besdei likiwaka waka kwa urembo wa mishumaa yenye kumtakia kila la kheri katika mwaka wake mpya.
Kwa niaba ya Wadau Woote wa Blog yetu hii,napenda kutoa pongezi za pekee katika sikukuu hii ya anko wangu huyu ambaye leo kagonga 1yr na namuombea sana na sana kwa Mungu amjaalie afya njema na maisha marefu zaidi na zaidi.

1 comment:

  1. happy birthday Pavel.umependeza kweli umefanana na mjukuu si mwana alivyokuwa mdogo.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad