
hivi ni kweli kwamba huu mtaro hauwezi fanyiwa usafi,au ni jeuri tuuu???maana siku zote uko hivi hivi halafu hata hayo maji yake yenyewe hayatembei wala nini,sijui hata ni kwanini unaacha namna hii kama hauonekani vile??kwa hali hii magonjwa ya milipuko yatamalizika hapa nchini??huu mtaro upo pale mbele ya jengo la MayFair Plaza na hakuna mtu apitae eneo hili bila kuuangalia mtaro huu.
Ndio msimu wa watu kujifanya wamenunua miwani jana. Subiri uone atakayegombea sehemu hiyo atakavyokuja na vulori vwa mchanga kutaka kufukia sehmu iliyokuwepo miaka yote ya uongozi wake.
ReplyDeleteSi ni uchaguzi time Bwana???
Sera zetu si za kumjali mwananchi, bali kumuonesha kuwa tunamjali akituchagua.
Zamani wakati blogs zinaanza nakumbuka kuna mwenzetu mmoja aliandika kwamba anaomba kipindupindu kiingie Ikulu.Nadhani alichomaanisha wakati ule bado kingali hai hivi leo.Kama kipindupindu kikiingia ikulu;parapanda za usafi wa jiji zitalia.Hapo ndipo pengine maeneo kama haya yatakaposafishwa
ReplyDeletekiukweli hii hali inaumiza sana kwa kuiona hivi maana wakazi wa jirani na mtaro huo hata sijui wanahali gani maana haya maji ni machafu sana tena sana halafu yametuama sehemu moja tuu.mimi nafikiri huyo aliefikiria kuwa anaomba kipindupindu kifike ikulu hakukosea hata kidogo maana nahisi kazi ndio itafanyika kikweli kweli.
ReplyDelete