HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 28, 2010

Flava Nite Na Wadau Kibao Kibao.

Mdau Salum Baharia,Dj Oscar,Mdau Nashe pamoja na kaka mkubwa Abdallah wakitabaruku ndani ya Mzalendo Pub.
Mdau Sam wa Machozi Band akiwa na mai nanihii wake ndani ya Mzalendo Pub
Best yangu Nashe nae alikuwepo pande hiyo.
mkuu Hans wa Samaki Samaki,Mie kati pamoja na Jaffaray ndani ya Mzalendo Pub
MaBlogger haoooooo.....,toka shoto ni John wa Full Shangwe Blog,Geofrey wa MO Blog,mdau Pascal pamoja na mdau mie wa Mtaa Kwa Mtaa Blog.tukiwakilisha pande za Mzalendo Pub katika libeneke la Flava Nite.

1 comment:

  1. hello

    huyo dj Oscar ni yule oscar urio??????? aliyekuwa anasomea mapishi forodhani au mwingine????????????????????????????

    ReplyDelete

Post Bottom Ad