HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 24, 2010

Dr Shein Ziarani Ruvuma

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein kushoto na ujumbe wake, wakiangalia sehemu iliyotumika kunyongewa Machifu wa mji wa Songea katika karne ya 19, wakati walipotembelea kwenye maonesho ya kumbukumbu ya Vita vya Majimaji yanayofanyika kila Mwaka Mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad