HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 5, 2010

Yale Yalee!!!!

Daladala lenye nambari za usajiti T 902 ANC linalofanya safari zake kati ya Ubungo na Mbagala Rangi 3, likiua boda kwa kukatiza katika kuta ya Barabara ya MANDELA rodi katika eneo la Ubungo karibu kabisa na mataa yaongozayo magari,hali iliyowapelekea kuwakera baadhi ya abiria na wapita njia wa barabara hiyo,sijui wazee wa feva huwaga wanayaona haya???

1 comment:

  1. Hapa ingekuwa mamtoni, polisi wanakushukuru Mzee Othman, then wanamplekea jamaa ticketi ya kukiuka sheria kwenye sanduku lake la posta, na dereva anapata pointi kadhaa kwenye leseni yake, afu insurance inapanda. Thanx Tanzania

    ReplyDelete

Post Bottom Ad