hivi ndivyo ilivyokuwa kipindi cha mgomo wa usafirishaji wa abiria (Matatu) nchini Kenya.halii imekaaje wandugu?? maana hapa hata usalama wa hawa wasafiri haupo tena.
o my god nini hiki hawa wakenya wanafanya serikali haijaliona hilo, its so bad,hawa watu wana roho za aina gani kama siyo waafrika ku risk maisha kwao its ok.mmmm poleni sana nawahurumia kwa kweli

ReplyDelete