Mdau mdogo mdogo,Denzil akikatiza mitaa ya kati huko kwa bibi huku akitengeneza libeneke la kutengeneza snowman pande za Mtaani kwao.Denzel amekuwa akiifurahia sana hii hali maana kwake inakuwa ni Burdaani kabisa.
No comments:
Post a Comment