
huku wamepaki na huku wamepaki,wanataka sisi tupite wapi sasa??hapa ni mtaa wa Agrey mchana wa leo.yaani hili eneo kila siku ni kero tupu mara sijui wanashusha mara wanapandisha yaani hata hawaeleweki hawa wahindi wenye maduka hapa,yaani barabara imekuwa kama yao vile.
No comments:
Post a Comment