HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 15, 2010

Pata Kitu Hiki Toka Kwa Mtu Mzima Sugu

1 comment:

  1. Sugu, Sugu, Sugu
    Hii si production niliyotegemea kwa mwaka huu. Nadhani uta-push mauzo na concert kwa heshima ya yale uliyowahi kufanya lakini si kwa ubora wa nyimbo za sasa. Lyrics na flow yake haijaendana na mabadiliko na japo amejitahidi kufanya uzalishaji mzuri wa ala, bado uimbaji wake unakatisha tamaa. Yaaani bado ana zile za ku-rhyme hata yasiyofikirisha.
    Anyway, another album but not good one

    ReplyDelete

Post Bottom Ad