Lile gazeti letu mahiri la nyewz tam tam za soka limeshatoka na lipo mitaani. Kama haujafanikiwa kupata copy yako tafadhali tuma txt/email kwenda kwa mdau mwenzetu kwenye 0713350833/
Shaffih Dauda
[shadaka20@yahoo.com]
Pia kama unataka kuletewa ofisini kwako kumbuka kutoa physical address yako na namba ya simu then litakufikia popote pale ulipo hata kama upo mkoa. I hope wadau wa Mbeya, Moshi & Arusha mmetupata kupitia hapa.
Naomba kuwasilisha!!!

No comments:
Post a Comment