HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 4, 2010

Neema Ya Mvua Jijini Dar

Neema ya mvua ya kama gudulia mbili na nusu hivi iliyopatikana siku ya jana katika jiji la Dar,ilisababisha mitaa mingi kuwa namna hii kama ilivyokuwa na kajikamera ka mzee wa Mtaa Kwa Mtaa jioni ya jana akiwa katika misele yake ya kila siku.Duuh afadhali sasa hali itakuwa shwari huku uswazi kwetu maana joto lilitukomesha kwa kweli.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad