MAOMBI!!
Pole sana na kazi yako nzito ya kutupa taarifa mbalimbali kwa kupitia mtandao wako.Kwa niaba ya kampuni ya King Kipf Productions ya jijini Dar es Salaam, na Blogu ya www.kingkif.blogspot.com ninakuomba ututangazie blog yetu hii ya: www.kingkif.blogspot.com. kwenye mtandao wenu ili tuweze kuwafikia wanaulimwengu wenzetu mbalimbali ili waweze kupata taarifa ya mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye sayari hii.
Kufanikiwa kwa jambo hili itasaidia kwa namna moja ama nyingine watu kupiga hatua kubwa. wako,
Mkurugenzi

King Kif Productions
Simchezo! King Kif namnyaka kichizi , ila nilikuwa sifahamu kama na yeye ana miliki blogu.Sasa nitakuwa namcheki mara kwa mara , leo baada y kuona umempa shavu hapa kwako , nimezama na nimemkuta anawakilisha kwa sana tu.Hongereni nyote!Pamoja sana .David Kabisama , Marekani.
ReplyDeleteAsante kwa kutuletea huyu mtu!
ReplyDelete