HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 18, 2010

Msiba Mkubwa Wamfika Da' Chemi Chemponda

(Reverend Douglas G. Whitlow 1951-2010)

Wadau, nasikitika kutangaza kifo cha Reverend Douglas G. Whitlow,(ambaye ni mume wa Da' Chemi Chemponda) kilichotokea nyumbani kwake Cambridge, Massachusetts leo asubuhi (January 18, 2010). Alikuwa na matatizo ya figo kwa muda mrefu.

Mipango ya mazishi inafanywa na ikikamilika tutafahamishana. Kwa kutoa pole na rambi rambi yako,waweza kuwasiliana na Da' Chemi kupitia namba hizo hapo chini:

Chemi Che-Mponda Whitlow

617-497-4353 /617-497-4353
au
Ezekiel Concord Luhigo

781-632-3605
NB: Kwa atakaye piga toka nje ya Marekani tafadhali weka namba ya mwito ya nchi +1 mwanzoni mwa tarakimu hizo kumi zilizotolewa.
MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU
-AMIN

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad