HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 26, 2010

mshindi wa fiesta jishindie mchuma apatikana

Pichani kulia ni muwakilishi wa kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari iitwayo Rama DBK Ltd ya jijini Dar akimkabidhi ufunguo mshindi wa gari la Fiesta jishindie motokaa,Bw.Raymond Lazaro Sanga (27) ambaye ni mkazi wa Tabata shule,huku Msimamizi wa bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania,Bwa.Mrisho Mlallo (shoto) pamoja na Mkurugenzi wa utafiti wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba wakishuhudia.Makabidhiano hayo yamefanyika leo mchana ndani ya jengo la Clouds Media Group,Mikocheni jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad